Mkusanyiko wa Wanachama uliojitokeza kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni.
Mkusanyiko wa Wanachama uliojitokeza kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni ikiwa kama ishara ya Umoja. Wakimuunga mkono mgombea Urais Mhe. John Pombe Magufuli pamoja mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan. #HapaKaziTu #UmojaNiUshindi...
Mama Salma Kikwete amezindua kampeni ya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi.
Mwenyekiti wa taasisi ya wanawake na maendeleo WAMA mama Salma Kikwete amezindua kampeni ya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na kueleza kusikitishwa na takwimu za vifo zaidi ya elfu nne vya akina mama vinavyotokea kila mwaka hapa nchini kati......
Hotuba ya Mzee Yusuph Makamba, kwenye Mkutano wa Kampeni ya CCM, Mjini Morogoro
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM ,Mzee Yusuph Makamba akihutubia wananchi katika Mkutano wa Hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro...
Umuhimu Wa Kutangaza Kazi Zako Kwenye Mtandao Wa Intaneti
Upo usemi kwamba kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza, huu ni usemi ambao umekuwa unatumiwa na wengi kama sababu ya kutotangaza kazi zao kwa nguvu.Katika zama tunazoishi sasa, zama za mtandao wa intaneti na mitandao ya kijamii, unahitaji kutenga mu......
Alichoongea Jokate kwenye mazishi ya mama mzazi wa Johari
Siku ya Leo January 18,2018 wasanii wa Bongomovie walijumuika pamoja kwenda kushiriki kwenye mazishi ya mama mzazi wa Msanii mwenzao Johari. Mama Johari amezikwa Leo na msiba ulikuwa maeneo ya nyumbani kwake Mburahati DSM....
MWIGULU NCHEMBA AKIFAFANUA SEHEMU YA HOTUBA YA NYERERE KWENYE MKUTANO WA KAMPENI MUSOMA MJINI
Naibu Waziri wa Fedha na mgombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi Mwigulu Lameck Nchemba akihutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM za kumnadi mgombea wa Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli....
Maina Piga kazi
Description...
PICHA ZA KILICHOJIRI KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI UKAWA
PLEASE LIKE, SHARE AND SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL & VIDEO ENJOY***...
INASIKITISHA SANA MTAZAME MTOTO WA MAREHEMU SETH WAKIWA KWENYE MAOMBOLEZI YA MSIBA
INASIKITISHA SANA MTAZAME MTOTO WA MAREHEMU SETH WAKIWA KWENYE MAOMBOLEZI YA MSIBAUSISAHAU KU SUBSCRIBE...
Wosia wa mama yake Alikiba kwenye harusi ya mwanae.
Mama yake Alikiba ndani ya harusi ya mwanae hakika harusi nijambo la heri....