Soko la Mandela lateketea kwa moto na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha, Sumbawanga.
Soko la mandela maarufu kama soko la wakulima na walalahoi kwa wakazi wa manispaa ya sumbawanga, kutokana na aina ya bidhaa zinazopatikana hapo na bei zake kuwa nafuu mno, limeteketezwa na moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha hasara kubwa ya mami......
Wafanyabiashara wakadiria hasara ya mamilioni ya pesa kuafuatia mkasa wa moto soko la Gikomba
Jiji la Nairobi mapema leo limeamkia mkasa wa moto kwenye soko kubwa zaidi nchini . Aidha wafanyabiashara kwenye wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa kuafuatia moto huo kwenye soko la Gikomba. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/liveFollow us o......
TAZAMA Vijana Waliojishindia Mamilioni ya Fedha Kwa Kubet
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1JUMLA ya washindi sita wa mchezo wa kubahatisha wameshinda kitita cha Sh milioni 26.7 kila mmoja baada ya kufanikiwa kubashiri timu 12 (Perfect 12) katika bahati nasibu ya kampuni ya M-Bet.Washidi hao ni Sat......
MAMILIONI YA HARAMU YATEKETEZWA KWA MOTO
#Tanzania #Zanzibar #KtvTzOnlineFollow Ktv Tz OnlineFacebook | KTV TZ ONLINEINSTAGRAM |@ktv_tz_online-~-~~-~~~-~~-~-Please watch: "LIVE:SHUHUDIA WAZIRI MKUU AKIWASILI UKEREWE" https://www.youtube.com/watch?v=woCCH...-~-~~-~~~-~~-~-...
Biashara ya Fedha kwa Fedha
Tumezoea kuona Mara nyingi katika maduka ya Watu wanauza bidhaa kuweza kupata fedha au Katika Maduka ya Ubadilishaji Fedha zinabadilishwa fedha za kigeni kwa fedha ya nchi husika sasa hii imekaa tofauti Kijana huyu yeye anauza fedha kupata fedha tena......
Soko La Sido mbeya Lateketea Kwa Moto
Soko la Sido la jijini Mbeya limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo na kuteketeza mali za wafanyabiashara wa soko hilo...
SOKO LA MWANJELWA (SIDO) LATEKETEA KWA MOTO.!
Soko La Mwanjelwa Jijin Mbeya Lateketea Kwa Moto Usiku Wa Leo, Chanzo Bado Hakijajulikana.!...
USAJILI: Beki wa Yanga aliyeletwa na Milionea kwa Mamilioni ya Fedha.
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1MILIONEA Mmmoja maarufu jijini Dar es salaam amemalizana na beki raia wa Jamhuri wa Kidemokrasia ya Congo Fiston Kayembe baada ya kocha wa timu hiyo George Lwandamina kudaiwa kukubali uwezo wa beki huyo.Awali......
Wafanyibiashara Gikomba wamekadiria hasara ya mamilioni ya pesa
Wafanyi biashara katika soko la Gikomba hapa jijini Nairobi, wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa, baada ya moto mkubwa kuteketeza soko hilo kuanzia saa tisa usiku wa kuamkia leo.Rais Uhuru Kenyatta ameamuru uchunguzi wa kiini cha moto huo kufanyw......
SOKO LA SIDO LATEKETEA KWA MOTO MJINI MBEYA
Soko La sido latejetea kwa moto usiku huu......
Sumbawanga,ijue baadhi ya mitaa ya sumbawanga kwa majina
Sumbawanga ni mji cool sana japo wengi huuogopaYawezekana hawaujui ila ipo siku wataujua vemaTazama hii video itakusaidia kuielewa baazi ya mitaa ya mjini sumbawanga...
AJALI YA MOTO: Jengo la CLOUDS Lateketea kwa Moto na Kuunguza Vyumba 3!
SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1SEHEMU ya jengo la kituo cha Clouds Media Group lililoko Mikocheni jijini Dar es Salaam limeungua moto leo ambapo Mkurugenzi wa Vipindi wa kituo hicho, Ruge Mutahaba, amesema moto huo ulitokea bila y......
Hali tete, DED Bahi atuhumiwa Kwa Ubadhirifu wa mamilioni ya fedha.
Bahi Dodoma: Madiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma wametuhumu Mkurugenzi wa wilaya hiyo Rachel Chuwa kwa kudai kuwa ni miongoni mwa watu waliohusika na ubadhirifu wa Mamilioni ya shilingi na kuagiza mamlaka ya uteuzi imchukulie hat......
Wafanyibiashara wakadiria hasara ya mamilioni, Sarit Centre
Wafanyabiashara wanaomiliki biashara katika duka maalum la Sarit Centre hapa jijini Nairobi wamekadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya moto kuteketeza duka hilo. Kwa zaidi ya saa nane shughuli ya kuuzima moto huo ulioripotiwa mwendo wa saa nne......
Soko la Mbagala lateketea kwa moto, Zima moto wachelewa masaa 6
Soko la Mbagala Rangi tatu usiku wa kuamkia leo baadhi ya maduka yameteketea kwa moto....
Polisi Dodoma wakamata mamilioni ya fedha za wizi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limefanikiwa kumkamata kijana Charles Samwel Mbise mkazi wa Ipogolo Iringa kwa tuhuma za wizi wa kutumia sialaha. Mbise anatuhumiwa kumtisha kwa kisu muajiri wake na kumpora kiasi cha shilingi milioni 17.9 na baadae kuk......
Mkuu wa Mkoa atoa pole kwa wafanyabiashara wa soko la Mandela - Sumbawanga
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen atoa pole kwa waathirikia wa moto soko maarufu la mji wa Sumbawanga, Soko la Nelson Mandela....
Mchungaji Kanyari kuchunguza kwa madai ya kuibia waumini na kukusanya fedha kwa njia ya udanganyifu
Siku chache tu baada ya runinga ya ktn kuangazia utapeli uliokuwa ukifanyika kwenye kanisa la mchungaji victor kanyari hii leo mkurugenzi wa mashtaka nchini Keriako Tobiko ametaka mchungaji Kanyari achunguzwe kwa madai hayo ya kuwaibia waumini......