Siha na Maumbile: Wakenya wengi wanatumia vibaya viuvijasumu{ Antibiotic}
.Siha na Maumbile: Wakenya wengi wanatumia vibaya viuvijasumu{ Antibiotic}Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services......
Siha na maumbile: Kigugumizi
Tunaangazia tatizo la kuwa kigugumizi. Waathiriwa kuhamasishwa siku ya JumamosiCitizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Ser......
Siha Na Maumbile: Vitiligo
Ngozi ni kiungo muhimu cha mwili na huchangia pakubwa muonekano wa mtu.Hata hivyo kuna magonjwa ambayo huweza kuathiri ngozi na kumfa nya mtu kuhangaika akitafuta matibabu. Mojawapo ya magonjwa hayo ni vitiligo,ugonjwa unaosababisha ngozi kupoteza r......
Siha na Maumbile: Obesity
Siha na Maumbile: Obesity...
Siha na Maumbile: Hemorroids
Maradhi ya bawasili yanayojulikana kiingereza kama piles husababisha uvimbe katika sehemu ya kupitisha haja kubwa na kumfanya mtu kuhisi uchungu mwingi haswa wakati wa kujisaidia. Chanzo halisi cha hali hii hakijulikani lakini imeonekana kuchangiwa n......
Siha na Maumbile: Yeast Infection
Inakisiwa kwamba wanawake watatu kati ya wanne watakumbwa na maradhi ya Chachu ya kuambukizwa kwa kimombo yeast infection katika maisha yao. maradhi haya ambayo husababishwa na vimelea yaani fungus ni maarufu sana na huwa kero kubwa kila wakati yanap......
Siha na Maumbile: Kudhibiti Saratani
Visa vya ygonjwa wa saratani vinakithiri kila uchao.maradhi hayo ambayo humuathiri mgonjwa kiafya, kisaikologia na hata kifedha sasa yameoneka kuwa donda sugu katika jamii.mwanahamisi hamadi alizungumza na familia moja iliyomweleza waliyopitia baada......
Siha Na Maumbile: Cerebral Palsy
Ulemavu wa Ubongo ama Celebral palcy Inasababisha kulemaa viungo vya mwiliInahusishwa na jeraha au uvimbe kwenye ubongoHusababisha ulemavu wa maisha kwa watoCitizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and......
Siha Na Maumbile: Virginity Products
Magonjwa yanayoathiri sehemu za uzazi kwa wanawake yanaonekana kuongezeka kwa kiwango kikubwa kadri siku zinavyosonga. Hali hii imechangia kampeni za kuwahamasisha wanawake kujikinga na kujua hali zao kuimarishwa mno. Mojawapo ya mambo yaliyogundu......
Siha Na Maumbile: Hijama/ Kuumika
Asilimia 70 ya magonjwa hutokana na damu kushindwa kuzunguka vizuri mwilini. Aidha viungo vya mwili hushindwa kufanya kazi yake vizuri pale damu inapokuwa imejaa sumu ama uchafu mwingine. Bila kuondoa sumu hiyo mwilini sio tu kwamba mtu hawezi kupona......
Siha Na Maumbile 08/07/12
kwenye makala ya Siha na Maumbile tunaangazia kuhusu watoto wanaokufia tumboni kabla ya kuzaliwa....
Siha na Maumbile - Matatizo ya Maskio
Kadri watoto wanavyokua ndivyo kinga yao ya mwili inayozidi kuimairika haswa wanapopata lishe bora. Wakati kinga yao inapokuwa chini watoto huwa kwenye hatari ya kupata maambukizi mbalimbali.Mojawapo ya maambukizi hayo ni matatizo ya masikio ambayo h......
Siha Na Maumbile: Usafi wa Kinywa
Kinywa ni kuingo muhimu mwilini kinachotekeleza majukumu mbalimbali kama vile kuzungumza, kula, na hata kuonyesha tabasamu linalopamba uso wa binadamu. Hata hivyo, endapo hakitatunzwa vyema huenda kikiaathiri baadhi ya majukumu hayo na pia kususha ha......
Siha Na Maumbile Ukataji Wa Kilimi
Siha Na MaumbileUkataji Wa Kilimi Kwa WototoUmuhimu Wa Kilimi Kwa Binadamu.Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services......
Siha Na Maumbile 09/12/2012
Mazoezi humsaidia pakubwa mama mjamzito katika kipindi chake cha ujazito ambacho ni tofauti kabisa. Mazoezi hayo ambayo yanatakiwa kufanywa chini ya mtaalamu pia ni muhimu kwani humtayarisha mama kisaikolojia wakati wa kujifungua. Katika siha na mau......
SIHA NA MAUMBILE Matatizo yanayoambatana na Endometriosis
SIHA NA MAUMBILEMatatizo yanayoambatana na EndometriosisCitizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set......
Siha Na Maumbile - Mshipa Wa Ngiri
Siha Na Maumbile - Mshipa Wa Ngiri.Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the......
Siha Na Maumbile: Tezi ya Dundumio
Ni tezi ndogo katika upande wa mbele wa shingo chini ya koromeoKazi yake ni kutoa homoni mwiliniTatizo hutokana na upungufu au wingi wa madini ya iodineUgonjwa hutokea kimyakimyaDaktari: Usipuuze dalili kama uvimbe ama maumivu shingoniCitizen TV is K......