Mzee, 83 Kaunti ya Siaya Ajichimbia Kaburi.
Kifo ni adui wa binadamu, ukiambiwa utakufa leo huenda utatembea hadi ugande miguu. Amini usiamini, sivyo kwa juma oyala, babu wa miaka 83,kutoka kijiji cha siriwo kaunti ya siaya. Yeye alijichimbia kaburi miaka 32 iliyopita na kulijengea jumba.Na ka......
Kaburi la halaiki lagunduliwa kaunti ya Mandera
Idara ya polisi imeanzisha uchunguzi kubainisha wahusika wa mauaji ya watu 5 na kiini cha kuuawa kwa watano hao waliozikwa katika kaburi la pamoja katika eneo la Fino county ya Mandera. Polisi imekanusha madai ya kuhusika na jinai hiyo.Citizen TV is......
News: Mwanaume ajichimbia kaburi
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tvMwanamme wa umri wa miaka 65 katika kijiji cha rironi huko nyandarua amewashangaza wengi baada ya kujichimbia kaburi kwa matayarisho ya mazishi yake. Mzee huyo solomon njoroge......
Changamoto wanazopitia wachimba kaburi katika kaunti ya Nakuru
Na huku tukisherekea siku ya Leba hii Leo tunakuletea taarifa kuhusiana na changamoto wanazopitia wachimba makaburi katika kaunti ya Nakuru. Lakini kwao wao hii ni kazi kama kazi yoyote ile bora tu tonge ifike kinywani. Watch KTN Live http://www.ktn......
Ratiba Kamili ya Maziko ya Mzee Ndesamburo na Kaburi Atakalozikwa
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini na M/kiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Mzee Dr. Philemon Ndesamburo, anatarajiwa kuzikwa leo Jumanne Juni 6, 2017. Hii ni Ratiba Kamili ya namna atakavyopumzishwa katika nyumba yake ya milele. SUBSCRIBE NOW:......
Mtu mmoja afariki kutokana na maandamano ya NASA kaunti ya Siaya
Mtu mmoja afariki kutokana na maandamano ya NASA kaunti ya SiayaSUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKe......
Mzee ajitokeza kupiga kura katika kaunti ya Migori
Mzee ajitokeza kupiga kura katika kaunti ya MigoriSUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more g......
Muigizaji maarufu Joseph Olita afariki katika Kaunti ya Siaya
Muigizaji wa kutajika humu nchini joseph olita amefariki baada ya kuugua shinikizo la damu kwa muda mrefu. olita aliyesifika kwa kumuigiza rais wa uganda idi amin dada katika filamu ya rise and fall of idi amin alifariki leo asubuhi katika kijiji cha......
MIHEMKO YA KAUNTI : Kaunti ya Kitui
Jinsi mmoja atakapoweka mikakati ya kampeni pamoja na utendakazi wakati wa huduma ndivyo vitakavyokuwa vigezo muhimu katika kinyang'anyiro cha ugavana kaunti ya Kitui, ikizingatiwa wagombezi wote watatu aliyekuwa waziri Charity Ngilu, seneta David Mu......
Mihemko ya Kaunti: Kaunti ya Migori
Kaunti ya Migori, mojawepo ya kaunti ambazo zinajivunia kuwa jirani wa mataifa ya Afrika mashariki imekuwa na historia kuu tangu enzi za hapo awali hasa eneo la South Nyanza.Mwamko wa ugatuzi ukiwa ulionekana kuwa kama mwanga kwa wenyeji wa kaunti in......
Mzee mmoja auwawa na watu wasiojulikana katika Kaunti ya Kwale
Mauaji ya kutatanisha dhidi ya wazee 2 katika kaunti ya kwale yameibua uoga miongoni mwa wakazi huku polisi wakishindwa kubaini dhamira ya mauaji hayo. wazee hao ambao majukumu yao yanawafanya kuonekana kuwa washauri wa kiusalama katika kaunti hiyo w......
Mihemko ya Kaunti: Kaunti ya Kilifi
Ufisadi, kushindwa kutimiza ahadi na uongozi duni ndiyo baadhi ya mambo wanayotaja wakosoaji wa gavana Amason Jeffa Kingi katika kaunti ya Kilifi.Aidha Gavana Kingi anasisitiza kwamba wenyeji wa kaunti hiyo wanafaa kumkabidhi muhula mwingine.Katika m......
Mihemko Ya Kaunti 2017: Kaunti ya Nairobi
Kaunti ya Nairobi, mji mkuu wa taifa la Kenya sio siri kwamba inahitaji uongozi thabiti na kiongozi mwenye maono makuu, kwani Nairobi ni uti wa mgongo wa masuala makuu ya ukuzi wa uchumi wa Kenya hasa ujenzi wa taifa na uongozi wa Kenya kwa jumla.Gav......
Mihemko ya kaunti 2017 : Kaunti ya Kiambu
Siasa za urithi katika kaunti ya Kiambu ni za kiaina yake hasa ikizingatiwa kuwa kaunti hii ufausi wake mkuu ni chama kilicho serikalini cha Jubilee. Hivyo basi iwapo utawania kwa tiketi ya chama kingine au muungano pinzani basi huenda usiwe na lako.......
Mwanamume mmoja ajichimbia kaburi akitaka kujizika akiwa hai
Kulikuwa na kioja katika kiijji cha Tivani kaunti ya Trans-Nzoia pale mwanamume mmoja alipojichimbia kaburi akitaka kujizika akiwa hai.mwanamume huyo alisema kuwa matatizo ya ndoa baina yake na mkewe yalimsababisha achukue hatua hiyo. Watch KTN Live......
KABURI 2 - MZEE FUNGAFUNGA | MZEE MSISIRI 2018 LATEST SWAHILIWOOD BONGO MOVIE
2018 LATEST SWAHILIWOOD BONGO MOVIEWatch Part 1 here https://youtu.be/t6Xu-5pSBtsAngalia sehemu ya 1 hapa https://youtu.be/t6Xu-5pSBtsRiverwood bongo movies is your one stop shop for latest bongo movie, most interesting bongo movies, most exci......
Kaunti ya Isiolo
Wakaazi katika jimbo la Isiolo wana matumani kuwa serikali za kaunti zitawaletea maendeleo. Wakaazi hao wanataka changamoto zinazosababishwa na uhaba wa rasilmali zitatuliwe pamoja na kuboreshwa kwa miundo misingi kama barabara na sekta ya afya. Ma......
MIHEMKO YA KAUNTI : Kinyang’anyiro cha ugavana kaunti ya Wajir
Joto la kisiasa katika kaunti ya Wajir linaonekana kupamba moto kila kuchao. Tayari mahasimu wakuu wa kisiasa gavana wa sasa Ahmed Abdullahi pamoja na aliyekuwa balozi wa Kenya nchini Saudia Mohammed Mahmud wamepata ridhaa mabaraza tofauti ya wazee......