Arusha kupata barabara ya njia nne kwa mara ya kwanza
Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli hapa alikua anazungumza na Wananchi wa Tengeru Arusha wakati wa uwekwaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa barabara kutoka Tengeru kupitia mpaka wa Ke......
Alichokifanya Harmonize kwa mara ya kwanza Arusha
Show Me ya Harmonize na Rich Mavoko ni wimbo ambao umekuwa jiwe la mwezi kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM na ilifanyika Arusha, Harmonize ilikuwa ni mara yake ya kwanza kufika Arusha na kufanya Show, Hiki ndicho alichokifanya.___________________......
Magufuli ahutubia uzinduzi wa ujenzi barabara ya njia nne Arusha
Rais Magufuli amehutubia katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya nia nne Arusha ikiwa ni siku moja baada ya mkutano wa wakuu wa umoja wa nchi za Afrika Mashariki....
Harmonize alivyoperfom Kwa Ngwaru kwa mara ya kwanza Arusha(part 5)
Kwa habari za kuvunja mbavu, burudani, siasa na michezo basi usiache KUSUBSCRIBE, LIKE na COMMENT....
HASSAN KESSY KWA MARA YA KWANZA
Mchezaji wa timu ya Yanga Hassan Ramadhani Kessy ameonyesha umahili wake kati ya mchezo dhidi ya Yanga na Mtibwa sugar mchezo huo ulifanyika katika uwanja wa taifa Agosti 6.2016 jijini Dar es salaam.Kessy ameshiriki mchezo huo ikiwa ni mara yake ya......
Familia ya Lissu yafunguka kwa Mara ya Kwanza
Baada ya ukimya wa muda mrefu tangu Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu Lissu kushambuliwa kwa risasi nyingi na watu wasiojulikana mchana wa Septemba 8, 2017 mkoani Dodoma, Leo Oktoba 5 Familia ya Mbunge huyo imezungumza na Vyombo vya habari kuhu......
NJIA YA KUPATA KUKU WENGI KWA MUDA MFUPI
MTAZAME Deogratias Sibula ,Afisa mifugo wa mkoa wa Ruvuma akitoa elimu ya namna ya kupata kuku wengi kwa wakati mmoja...
NJIA YA KUPATA KUKU WENGI KWA MUDA MFUPI
Afisa mifugo mkoa wa Ruvuma Deogratias Sibula amewataka wafugaji wa kuku wa mkoa wa ruvuma juu ya ufugaji bora ambao utamwezeja kila mfugaji kuwa na kuku wengi kwa kipindi cha muda mfupi na kumwongezea kipato....
Barabara ya Tengeru Arusha
Ujenzi Unaendelea...
Sauti ya Lissu yasikika kwa mara ya kwanza Nairobi
Sauti ya Lissu yasikika kwa mara ya kwanza Nairobi...
Sugu afunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuachiwa
Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ambaye ameachiwa huru leo kutoka gerezani alikofungwa akiwa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Emmanuel Masonga, amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoka jela....
KIRINGO afikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza
Mtuhumiwa wa kosa la kulawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 13 kisiwani UNGUJA, HASSAN ABU TALIB maarufu KIRINGO kwa mara ya kwanza amefikishwa mahakama ya mkoa ya mjini magharibi VUGA kisiwani UNGUJA na kusomewa shitaka linalomkabili na baad......
Mugabe ajitokeza hadharani kwa mara ya kwanza
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amejitokeza kwa mara ya kwanza hadharani tangu jeshi la nchi yake kutangaza kuchukuwa madaraka huku likikanusha kufanya mapinduzi, nchini Ujerumani mazungumzo ya kuunda serikali yakwama hadi sasa na huko Marekani, bunge......
Harmorapa aendesha ndege kwa mara ya kwanza
Harmorapa amepost video hii kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika""abiria wangejua kama harmorapa ndo rubani wasingepandaa hii ndege nashukuru nimewafikisha Dar es salaam salama...
Mara ya kwanza kwa Cannavaro kupanda ndege.
Mara ya kwanza kwa Cannavaro kupanda ndege....